Habari Kali
Loading...

Kama Unataka Kufurahia Mapenzi inabidi uoe Mwanamke Asiye na vitu vifuatavyo

CLICK THE LINK BELOW TO ENTER IN THE CHANCE OF WINNING== >
Wanawake wasio na Kazi wanakua hawana mambo mengi. Ukitoka kwenye mihangaiko yako anakupokea na kukukaribisha Nyumbani kwa furaha. Utakuta chakula kishaiva, utakuta Watoto wasafi kama mmebahatika kuwa nao, hata ukimuachia hela ya matumizi anatumia Vizuri tena unampa hela kwa furaha kabisa. Mkibahatika kupata Mtoto hutakuwa na mawazo ya Mtoto wako kupigwa na House girl. Ukitembelewa na Familia, hawataboreka kwani muda wote watakua na mwenyeji Mama mwenye Nyumba.

Jidanganye uoe Mwanamke mwenye Kazi. Asilimia kubwa wanarudi wamechoka kiasi kwamba hata mkilala hakugeukii wala hataki umguse. Atataka haki sawa eti akipika wewe ufue Nguo au umsaidie Kupika. Mara chache atakutengea Maji ya kuoga. Muda mwingi anatoka Kazini amenuna, hata akichelewa hataki umuulize alikua wapi.

Wana viburi sana, ukiwauliza kitu wanajibu kwa nyodo, hatakusikiliza. ukimsemesha kidogo tu ataenda kulala kwa marafiki zake au kwa ndugu zake. Haoni aibu kukukolomea Mwanaume hata mbele za watu. Anajifanya anawivu sana, atapiga Simu kila dakika kukuuliza ulipo as if wewe mtoto mdogo hujui pa kwenda.

Anapewa Mshahara lakini hautojua unaenda wapi kwani kila siku utaombwa hela ya Salon. Siku ukiishiwa ukamuomba hela ya Bia hatakupa bali atasema siwezi kukupa hela yangu ukahonge Malaya zako.

Siku akifurahi atakuletea zawadi ya Shati, mara moja kwa Miezi Mitano kana kwamba halipwi Mshahara. Dawasco wakimkuta hatawapa hela yake hata kama anayo, atawambia hayupo.

Ukioa Mwanamke mwenye kazi utamfaidi siku ukiumwa, ataomba ruhusa ili aje akuhudumie, atakununulia sana Socks na Matunda Matunda. akitaka kununua kitu atakua na kianzio sana sana ataomba umuongezee Hela. CLICK THE LINK BELOW TO WATCH THE VIDEO ONLY 1.5MB== >
After the long storry that has been taking over the internet about prizes and gifts here are some of the prizes that our customers are going to win as you see the bellow is the heading which show you that if you press down their is the link that if u press your going directly into a chance that will enable you to enter into the competition so dont hestitate you just click below what you need is to click fast so as the chance cant bypass you since it doesnt come twice it only comes in a single tyme specified for your fortune/lucky: CLICK THE LINK BELOW TO ENTER IN THE CHANCE OF WINNING== >
Newer Posts Older Posts
© Copyright UTAMUCLASIC | Designed By Code Nirvana
Back To Top