Habari Kali
Loading...

HIZI NDIZO PICHA ZA UCHI ZINAZOMTESA MSANII LULU


Staa anayeshikilia kipaji chake kwa mikono miwili ndani ya chimbo la filamu Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’, anateswa na picha chafu aliyodai ni ya kutengenezwa inayosambaa mitandaoni huku vijana wakipasiana kama mpira kwenye simu, Risasi Mchanganyiko linaripoti.

Akifafanua ishu hiyo mbele ya gazeti ‘first class’ la mastaa Bongo, Risasi, alipotinga makao makuu ya ‘pepa’ hili, Sinza-Bamaga, Dar hivi karibuni, Lulu alidai kwamba picha hiyo siyo yake asilani bali imetengenezwa na wabaya wake wenye lengo la kumchafulia jina.

Lulu alidai kwamba, picha hiyo inayopatikana zaidi katika Mtandao wa Facebook, inafananishwa na yake hivyo kuiweka kuwa moja ya vitu vinavyoutesa moyo wake kwasasa




“Teknolojia inatuharibia, ukweli ni kwamba ile picha siyo yangu, imetengenezwa kwani kiwiliwili siyo changu, kinachoonekana ni sura yangu lakini sina maumbile ya aina ile,” alisema Lulu na kuongeza:

“Ni moja ya vitu vinavyoutesa moyo wangu kwa sasa.”
Muigizaji huyo ‘Sidanganyiki’ alisema kwamba, amekuwa akijitahidi kuwaelewesha baadhi ya watu wakiwemo wazazi na wanafunzi wenzake wanaomtuhumu kuwa picha hiyo ni yake lakini wanaonekana kutomwelewa.

Lulu alitumia ‘intavyu’ hiyo kuwaomba watanzania waelewe kwamba picha hiyo ambayo Risasi ina ‘kopi’ yake hakuipiga yeye na kwamba watu wanamfananisha tu na katika maisha yake hajawahi kupiga picha za utupu.

“Watanzania ambao ndiyo mashabiki wa kazi zangu wanapaswa kujua kwamba sijawahi kupiga picha ya utupu kama hiyo maishani mwangu na wala sitegemei kufanya hivyo hadi Yesu atakaporudi mara ya pili kuchukua walio hai na wafu,” alisema Lulu na kuongeza:

“Natumia fursa hii kuifahamisha jamii kwamba mimi ni msanii mwenye maadili na ni kioo cha jamii hivyo waendelee kunielewa hivyo na si vinginevyo.”

DOWNLOAD NEW HIT SONG KUTOKA KWA G-NAKO(gwarawara) -SICHEZI MBALI....NI SHEEEEDAAAAHHH!!!!!!

Mkali wa Chorus Bongo G-Nako Wara Wara wa Kundi la Weusi Sasa Ameamua Kuja Kivyake Bila Kumshirikisha Mtu yoyote na Kuangusha Bonge la Wimbo....Sikiliza ama Download Hapa 


Hot Jacqueline Wolper Stylishly Dazzles SEX POSITIONS In New Photos

 Hot Jacqueline Wolper Stylishly Dazzles In New Photos
You simply look hot Jacqueline Wolper...

AUNT,WEMA MAJANGA MATUPU......

Baada ya kula viapo vya kutozikana, wasanii wawili wa filamu Bongo, Wema Isaac Sepetu ‘Madam’ na Aunt Ezekiel Grayson wamejikuta wakiangua vilio wakati wakipatanishwa na rafiki yao mkubwa ambaye ni pedeshee anayejulikana kwa jina la Daudi Mambya.
Aunt Ezekiel akimbembeleza Wema baada ya kupatanishwa.
Habari kutoka kwa shuhuda wetu zilieleza kwamba, tukio hilo lilijiri wikiendi iliyopita kwenye Ufukwe wa Coco jijini Dar ambapo Daudi aliwaita kwa mwaliko wa mishikaki bila wenyewe kujua kinachoendelea.
Habari zilieleza kuwa, Daudi ambaye kwake huwa hawafurukuti, amekuwa akiumizwa mno na tofauti ya wasanii hao kwa sababu ni watu walikuwa wakipendana hivyo kugombana kwao kulikuwa kunaleta shida kwa marafiki zao wengine.
Imefahamika kwamba, Daudi alitumia ujanja wa kuzungumza na kila mmoja kwa wakati wake ambapo alibaini kuwa hakuna aliyekuwa tayari kupatana na mwenzake.
Ilisemekana kuwa, Daudi alitumia ujanja wa kitaalamu ili kila mmoja kumuweka sawa bila kujijua.
“Unajua Daudi ni rafiki yao sana, sasa hakuwa anapendezwa na tatizo ambalo limejitokeza hivyo alitumia njia tofauti ili kuweza kuwakutanisha pamoja tena waweze kupatana,” alieleza mtoa habari huyo.
Wakiwa na rafiki yao Daudi Mambya anayedaiwa kuwapatanishwa.
Ilielezwa kwamba Daudi alianza kwa kumtafuta Wema na kumpeleka Coco Beach akimuambia kuwa anataka akamnunulie mishikaki huku wakati huohuo akimwambia Aunt naye wakutane ufukweni hapo.Shushushu wetu alizidi kufunguka kuwa Daudi alitangulia Coco na Wema, huku akifanya mawasiliano na Aunt na baada ya muda, Aunt naye aliwasili huku kila mmoja akibaki katika mshangao usioelezeka baada ya kukutana uso kwa uso.
Sosi huyo alisema kuwa Wema na Aunt walipoonana kila mmoja alikuwa kimya lakini Daudi aliamua kuwasomea risala ndefu iliyomwingia kila mmoja.Mambo yakipokaa vizuri, wawili hao walishuhudiwa wakiwa wamekumbatiana huku kila mmoja akiangua kilio kilichochukua takribani nusu saa hivyo kufanya eneo hilo kuwa kama kuna msiba.
“Yaani mpaka Daudi mwenyewe alidondosha machozi baada ya Wema na Aunt kukumbatiana na kuanza kulia.
“Yaani ilikuwa simanzi kubwa sana,” alimalizia shuhuda huyo.Akizungumza na gazeti hili, Daudi alisema kuwa aliamua kuwapatanisha wawili hao kwa kuwa alikuwa hapendezwi na tatizo hilo na kwamba wote ni rafiki zake.
Kwa upande wake, Aunt alifunguka ya moyoni:
“Tulipokutana kila mtu alijua tatizo lake na tukaona ni mambo ya kijinga, ikabidi tuweke tofauti pembeni maisha yaendelee.”
Wema alisema: “Mambo ya kugombanagombana hayana msingi na kwa vile ni mtu mzima (Daudi) aliwakutanisha, nikaona yaishe.”Wema na Aunt ambao walikuwa marafiki wakubwa waliingia kwenye mgogoro hivi karibuni baada ya Wema kumtuhumu Aunt kuunga mkono shoo ya Zari All White Party ya mwanadada Zari Hassan ‘Zari The Boss Lady’ ambaye ni mpenzi wa aliyekuwa mpenzi wa Wema, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz

HUDDAH MONROE TWERKS AS OFF FROM SHOWER SHOWING HER NUDITY!! WATCH THE VIDEO!!.

When huddah she is in Lagos shared this image and tw3rking after taken shower!! watch the video below....

WATCH THE VIDEO BELOW HUDDAH TW3RKS.....


USIPENDWE KUPITWA NA KILA KITU TAZAMA HAPA MAMBO YA YAMOTO BAND...ni full kupwelepwetana..











OLOLOOOOYAE....AMA KWELI LINAH AUMBIKA....tazama picha tano alizozitupia instagram.....

HUYU NDIYE MWANADADA BONGO MWENYE UMBO LA HAJA ANAEWANYIMA USINGIZI WASANII WA BONGO MUVIE ....bofya hapa kumtazama


MAMBO YA POMBE SI CHAI KAJALA ASASAMBUA MDEBWEDE NUSRA KULIWA KIBOGA..BOFYA HAPA KUTAZAMA PICHA.....

CHIZIKA! Katika hali ambayo haikutarajiwa, staa wa sinema za Kibongo, Kajala Masanja amewaacha watu midomo wazi kwa kukatika mauno hadharani.
Staa wa sinema za Kibongo, Kajala Masanja akikata mauno.
Tukio hilo la aina yake lilitokea hivi karibuni maeneo ya Twende Polepole, Mkoa wa Pwani kwenye sherehe ya kumkaribisha mtoto wa mwigizaji Aunt Ezekiel (Baby Shower) iliyohudhuriwa na watu wengi akiwemo Kajala.
Awali, mwanahabari wetu aliyekuwa akikusanya matukio eneo hilo alimshuhudia Kajala akipata ‘kilaji’ kisha akaitwa na mshereheshaji Maimartha Jesse na kupewa nafasi ya kucheza muziki ndipo alipoanza kuionesha tatuu yake iliyopo bajani kabla ya kuanza kukata mauno.
...akizidi kunengua.
Watu waliokuwepo ukumbini humo walipigwa na mshangao kwani hakuna aliyeamini staa kama huyo alikuwa mahiri wa kuzungusha nyonga.“Yaani ni balaa, sijui ni kuzidisha kilaji au ni vipi, mtoto wa kike kajitoa ufahamu kwelikweli, leo ndiyo amefunika watu wote hapa,” alisema mmoja wa waalikwa.
“Aunt Ezekiel kwa kushirikiana na marafiki zake, waliamua kufanya sherehe kwa lengo la kufurahi pamoja na kumpa mwigizaji huyo zawadi mbalimbali za mtoto wake mtarajiwa.
Mbali na Kajala, sherehe hiyo ilihudhuriwa na mastaa kadhaa akiwemo Husna Idd ‘Sajenti’ (mwigizaji), Nice Chande (muigizaji), Zamaradi Mketema (mtangazaji) na wengineo ambao nao walicheza muziki, kula na kunywa.

OLOLOOO!!!!IF U NEED ME COME AND GET ME...haya ndo maneno aliyojisemea mdada jokate baada ya kujinadi na uzuri alioanao...bofya hapa kutazama picha zake...



 
Instagram umekuwa ni mtandao ambao hakika umeleta upinzani mkubwa kwenye mitandao mingine ya kijamii diniani kwa sasa mastar na wasio mastar wamekuwa wateja wa mtandao huu sasa tukutane na picha hizi toka kwa Joket
Tanzania singer and model Jokate "Kidoti" Mwagelo shared this images today oops!! OMG men will flaunts after see this.  
 


 


            


THIS IS A SHOW OF ZARI ALL WHITE PARTY WHICH HELD PLACE IN DAR-ES-SALAAM

Diamond akiwachengua mashabiki kwa wimbo wake wa Nasema Nawe aliomshirikisha Malkia wa Taarab, Khadija Kopa.
Malkia wa Taarab nchini, Khadija Kopa akiimba sambamba na Diamond Wimbo wa Nasema Nawe.
Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Shetta akiwarusha mashabiki waliofika katika Usiku wa Zari All White Party.
Diamond na Nay wa Mitego wakiimba ngoma yao ya Muziki Gani.
Mashabiki wakijiachia.
Diamond Platnumz akizikonga nyoyo za mashabiki.
Ray Kigosi na Mama Rolaa nao ndani.
Diamond akicheza na mashabiki wake.
Nyomi iliyohudhuria shoo hiyo.
SOURCE-GPL

Watch These Two Images Of Socialite Huddah Monroe That's Been Terrorizing Men On Social Media


By the way Huddah Monroe is heading to Tanzania probably at the moment, or soon for the Zari's All White Party that will take place in Dar Es Salaam on 1st May. Now lets get down to business. Did you guys notice the pic Huddah uploaded last night to her Instagram blog? Yeah yeah I understand you saw half the pic sorry. She said the full pic was for her bae and its not that I'm bragging or something but to be honest I have the full pic in my phone. 

Haha I know what y'all are thinking. Of course am not her bae. Just a little photoshop and you have the the full photo. Jokes aside here is the Post that has been doing rounds in men's galleries today:

Courtesy of Buoart
Older Posts
© Copyright UTAMUCLASIC | Designed By Code Nirvana
Back To Top