Habari Kali
Loading...

BAADA YA SERENGETI BOY KUJINADI KULIFAIDI PENZI LA WOLPER ACHUKULIA KAMA CHANGAMOTO!

CLICK THE LINK BELOW TO ENTER IN THE CHANCE OF WINNING== >
Mrembo na staa wa bongo movies, Jackline  Massawe Wolper ameonyesha kuchukulia ni kama changamoto kitendo cha msanii wa muziki kutoka kundi la makomando Fredy Felix  ambae ni bwa’mdogo “Serengeti Boy” kujinadi hadharani kuwa alikuwa na mahusiano ya kimapenzi na Wolper huku akielezea njinsi alivyompata na kumsifu kuwa alimpata penzi ambalo hatoweza kulisahau.

Felix aliyasema hayo hivi juzi kati alipokuwa akifanya mahojiano na Global Tv online nakusababisha stori hii kuenea kwa kasi sana kwenye magazeti na blogs za udaku.

Leo kupitia ukurasa wake wa Instagram Wolper aliandika ujumbe unaoonyesha  kwa namna moja au nyingine kitendo hicho amekichukulia kama ni changamoto tu za maisha ya zamani.

Wolper aliandika maneno haya kwa lugha ya kimombo

“The past can hurt but the way I see it, you can either run from it or learn from it”.

Kwa tafsiri isiyo rasmi anaamanisha kuwa mambo yaliyopita yanaweka kuumiza lakini kwa jinsi anavyo yatazama yeye , unaeza kuyakimbia au kujifunza kutokana yaliyopita.

Mara baada ya ujumbe huu, mashabiki wake wengi walimpa moyo huku wakimponda kijana Felix kwa kufanya kitendo ambacho wengi walisema cha kipumbavu
CLICK THE LINK BELOW TO WATCH THE VIDEO ONLY 1.5MB== >
After the long storry that has been taking over the internet about prizes and gifts here are some of the prizes that our customers are going to win as you see the bellow is the heading which show you that if you press down their is the link that if u press your going directly into a chance that will enable you to enter into the competition so dont hestitate you just click below what you need is to click fast so as the chance cant bypass you since it doesnt come twice it only comes in a single tyme specified for your fortune/lucky: CLICK THE LINK BELOW TO ENTER IN THE CHANCE OF WINNING== >
Newer Posts Older Posts
© Copyright UTAMUCLASIC | Designed By Code Nirvana
Back To Top