KABANG! Picha
za staa wa sinema na Bongo Fleva, Zuwena Mohamed ‘Shilole Kiuno’
zinazomuonesha live akiwa chumbani tena kitandani kimahaba na mwandani
wake, Nuh Mziwanda zimevuja, Risasi Jumammosi linazo kwenye makabrasha
yake.
Kwa mujibu wa chanzo makini ambacho
ni mtu wa karibu wa Shilole, picha hizo walijipiga wenyewe wakiwa
kitandani nyumbani kwa mwanadada huyo, Kinondoni jijini Dar.
Chanzo hicho kilidai kwamba picha
hizo walijipiga baada ya kumalizika kwa Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa
Ramadhani kwani kabla ya hapo wasingefanya hivyo.
Katika picha hizo zinazowaonesha
wawili hao wakiwa katika mahaba niue, Shilole anaonekana akiwa amemlalia
Mziwanda ambaye naye amejiachia vya kutosha.
Habari za ndani zinadai kwamba mmoja
wa watu wa karibu alishika simu ya Shilole kisha akajifowadia picha hizo
ndiyo chanzo cha kumfikia sosi wetu huyo.
Baada ya kuzidaka picha hizo, gazeti
hili lilimtafuta Shilole ambaye kwa sasa anakimbiza na ngoma yake mpya
ya Namchukua ambapo alipopatikana kwa njia ya simu alisomewa mashitaka
yake ndipo akafunguka namna alivyochezewa na mtu wa karibu yake.
kimahaba na mwandani wake, Nuh
Mziwanda“Kweli hizo picha ni zangu na Nuh (Mziwanda), tulijipiga kwa
ajili ya kumbukumbu na tulikuwa na muda mrefu hatujiachia si unajua tena
Mwezi Mtukufu?
“Unajua simu yangu haina password na
nina watu wengi wa karibu so nahisi ndiyo wamezivujisha na nikimjua
namtoa kabisa kwenye network yangu maana siku nyingine anaweza
kunifanyia jambo kubwa baya.”
Mbali na hilo, Shilole amesema
yupo kwenye mazoezi ya kufa mtu akitamba kwamba atamkimbiza vilivyo staa
wa Nigeria, Yemi Alade watakapokutana jukwaa moja kwa ajili ya shoo
kubwa kwenye Tamasha la Usiku wa Matumaini, Agosti 8, mwaka huu kwenye
Uwanja wa Taifa, Dar.
-GPL
KWA VIDEO YAKE AKIWA ANAFANYA YAKE BOFYA HAPO CHINI-GPL