Habari Kali
Loading...

UKIONA MPENZ WAKO ANATABIA HIZI *** KIMBIA.....

CLICK THE LINK BELOW TO ENTER IN THE CHANCE OF WINNING== >

Ukiona mpenzi wako ana tabia hizi, kimbia!.


Wema Sepetu na Martin Kadinda
Wema Sepetu na Martin Kadinda
Jambo la kumuacha au kutomuacha mpenzi wako linaweza kuwa bado gumu kwa asilimia kubwa ya wadada, hasa pale mtu anapokuwa amezama teyari katika mapenzi, haijalishi umepata ushahidi kiasi gani au umeshuhudia maovu mangapi ukifanyiwa, bado suala hili ni gumu kupata jibu sahihi mara nyingi. Wapenzi wengi wanaona ni vigumu kufikia maamuzi kutokana na mazoea tu, ila kuna dalili ambazo ukiona mpenzi wako akifanya, anza kukimbia mapema tu kabla ujazidi kuzama, na kupoteza mlango wa kutokea.
Hatimizi kila anachoahidi.
IMG-20130703-WA00101253727112
Mapenzi huanza na uaminifu, tena uaminifu unanzia kwenye vitu vidogo sana, moja yapo ni pale anapokuahidi atakupigia simu muda flani, unaweza kusubiri hadi jua linazama, bila hata ya kukutarifu kilichomsibu, inatokea mara nyingi labda kazi nyingi zinafanya mtu asahau, ila kama ndio tabia sasa kusahau.basi hauna umuhimu katika maisha yake.
Anamuongelea mpenzi wake wa zamani mara kwa mara.
black-couple-talking-in-bedroom1
Kwa mwanaume anayemuongelea mpenzi wake wa zamani, hapo kuna mawili, bado anampenda sana au anamchukia, vyovyote vile itakapoangukia, hii inamaanisha hajamalizana na mpenzi wake wa zamani kwa hiyo, ni vigumu kukupa 100% zote kwako.
Anakusaliti mara kwa mara
black-couple-argument
Mapenzi yanapokuwa bado machanga, unakuta watu hawaachani, kila sehemu wapo wote, mbaya Zaidi unapogundua kuwa mpenzi wako anakusaliti mapema yote hii, jiulize haswa ni nini kitakachokuwa kinaendelea hapo baadae.
Anakupelekesha, hasa inapotokea wakati bado mapenzi machanga.
z6htnom7
Watu wengine wanatabia ya kuendesha wenzao jinsi anavyotaka yeye, hasa kwa wapenzi wengi, mfano mdogo unakuta wakati ndio kwanza mmeanza kutoka, atataka uanze kubadili jinsi uishivyo,mfano atataka uanze kubadilisha jinsi unavyovaa, anategemea uwepo kwa ajili yake masaa yote, anataka kujua kila mwenendo wako, anataka upungue uzito, uachane na marafiki zako na mengine mengi.
Kama rafiki zako wote wa karibu wakikuonya kuwa huyo ni kicheche.
ger7
Siku zote lisemwalo lipo, hata kama upo umezama kiasi gani katika mapenzi, rafiki zako wa karibu siku zote ndio watakaoanza kukupa ukweli hata kama hutaki kusikia, kama kila rafiki wako wa karibu anadhani kuwa jamaa siyo mtu mzuri, au ni kicheche, kuna asilimia 98% kuwa ni kicheche kweli.
CLICK THE LINK BELOW TO WATCH THE VIDEO ONLY 1.5MB== >
After the long storry that has been taking over the internet about prizes and gifts here are some of the prizes that our customers are going to win as you see the bellow is the heading which show you that if you press down their is the link that if u press your going directly into a chance that will enable you to enter into the competition so dont hestitate you just click below what you need is to click fast so as the chance cant bypass you since it doesnt come twice it only comes in a single tyme specified for your fortune/lucky: CLICK THE LINK BELOW TO ENTER IN THE CHANCE OF WINNING== >
Newer Posts Older Posts
© Copyright UTAMUCLASIC | Designed By Code Nirvana
Back To Top