CLICK THE LINK BELOW TO ENTER IN THE CHANCE OF WINNING== >
MSANII wa muziki wa Kizazi Kipya na Filamu Bongo,
Zuwena Mohamed ‘Shilole’,jana alianika wazi tabia yake ya uchunaji
mabuzi alipokuwa kwenye moja ya mahojiano na watangazaji wa Kipindi cha
Leo tena cha Clouds FM,
baada ya kuulizwa swali liloendana na jina la kibao chake kipya ambacho
jana ndiyo ilikuwa siku rasmi akikiachia hewna kupitia stesheni za radio
hiyo,baada ya kuachia ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina la NACHUNA
BUZI...

Mmoja
ya watangazaji wa kipindi hicho alimuuliza ni kitugani kilichompelekea
hadi kutunga wimbo wa namna hiyo na kuupa jina hilo,Shilole katika
majibu yake alisema kuwa ameamua kukipa jina hilo kufuatia historia
mbalimbali za maisha yake,hususani wimbo wake uliopita ambao aliupa jina
la Nakomaa na jiji la Dar,sasa kudhihirisha kauli hiyo ameamua kuchuna
mabuzi ili aweze kupata mkwanja wakutosha kulihimili jiji la Dar es
Salaam na Igunga abaki kwenda kusalimia ndugu na jamaa tu.Baada ya
maneno hayo Shilole pia aliandika ujumbe huu kwenye ukurasa wake wa
Instagram:-
shilolekiuno ASANTENI MASHABIKI WANGU WOTE KWA KUIPOKEA VEMA NYIMBO YANGU MPYA#CHUNABUZI# MUNGU AWABARIK# AMEEN
CLICK THE LINK BELOW TO WATCH THE VIDEO ONLY 1.5MB== >
After the long storry that has been taking over the internet about prizes and gifts here are some of the prizes that our customers are going to win as you see the bellow is the heading which show you that if you press down their is the link that if u press your going directly into a chance that will enable you to enter into the competition so dont hestitate you just click below what you need is to click fast so as the chance cant bypass you since it doesnt come twice it only comes in a single tyme specified for your fortune/lucky:
CLICK THE LINK BELOW TO ENTER IN THE CHANCE OF WINNING== >