sanii
wa muziki ambaye katika siku za hivi karibuni ameonekana kuvuma, Zuwena
Mohammed ‘Shilole’ alijitapa kuwa na paja la haja huku akidai ni sehemu
ya mwili inayomfanya awe na mvuto na kuwadatisha wanaume.
CLICK THE LINK BELOW TO WATCH THE VIDEO ONLY 1.5MB== >
Katika tukio la hivi karibuni ndani ya Ofisi za Global Publishers, Mwenge Bamaga jijini Dar, alipofika kwa ajili ya mahojiano , msanii
huyo alitakiwa kupozi ili apigwe picha lakini cha ajabu alipandisha juu
kigauni chake na kuonesha kipensi kifupi alichokuwa amevaa huku akidai
ana paja la maana hivyo hana sababu ya kulificha.
“Mguu
ninao, paja ninalo kwa nini nijifichefiche bwana?” Alisema Shilole na
katika mahojiano alidokeza kuwa, mabuzi anayo na lazima ayachune kwani
yeye ni mtoto wa kike.
=GPL