MISS TANZANIA 2011 AKIRI KUTEMBEA NA KONDOM KWENYE MKOBA SAA 24!....SOMA HAPA KUJUA ZAIDI!!!
MISS
Tanzania 2011, Salha Israel ameweka bayana bila ya woga wowote kuwa,
kwenye pochi yake hakaukiwi na mipira ya kiume ‘kondom’, Amani linakupa
kila kitu kinagaubaga.
Salha
alisema hayo, juzi Jumanne katika mahojiano maalum, chumba cha habari
cha Magazeti Pendwa Bongo, Global Publishers, Bamaga – Mwenge jijini Dar
es Salaam.
HABARI KAMILI
Katika mahojiano hayo, Salha aliwekwa mtu kati ambapo alifafanua ishu hiyo pamoja na mambo mengine ndani na nje ya urembo, bila kusahau tasnia ya sinema ambayo kwa sasa ameingia kwa miguu miwili.
Katika mahojiano hayo, Salha aliwekwa mtu kati ambapo alifafanua ishu hiyo pamoja na mambo mengine ndani na nje ya urembo, bila kusahau tasnia ya sinema ambayo kwa sasa ameingia kwa miguu miwili.
Swali
la msingi lililozaa jibu hilo ni pale alipoulizwa kama aliwahi kutoa
mimba tangu alipoanza kuelea kwenye bahari ya mapenzi, ambapo alikana
kisha akafafanua: “Mimba! Weeeee.... hapana. Sijawahi kupata wala kutoa
mimba.”
Akaongeza: “Mimi natumia kondom bwana, mimba itaingia wapi hapa!”
AMANI: Kama ukienda kwa jamaa na akawa hana kondom unafanyaje?
SALHA: Na kwa nini asiwe nayo? Lakini siyo tatizo sana, ndiyo maana mimi huwa nakuwa nazo kwenye pochi muda wote. Nikijua nakwenda kwa jamaa, basi zinakuwa tayari.

Sitaki
kisingizio, kama atakuwa nazo fine (sawa) but (lakini) akiwa hana natoa
zangu. Unajua mimi ndiye nitakayeingia kwenye matatizo ndiyo maana
nakuwa makini mwenyewe.
AMANI: Kwa hiyo hata sasa hivi hapo unazo kondom kwenye pochi yako?
SALHA: (Anacheka) Hapana, hapana... kwa sasa sina na hii ni kwa sababu sina mtu muda huu ila nikiwa naye huwa siachi kuzibeba muda wote.
SALHA: (Anacheka) Hapana, hapana... kwa sasa sina na hii ni kwa sababu sina mtu muda huu ila nikiwa naye huwa siachi kuzibeba muda wote.