Yule
bint wa mwanamuziki maarufu nchini Jeska Kikumbi King Kikii ameendelea
kujidhalilisha pamoja na kuidhalilisha familia yake baada ya kurusha
hewani tena picha zingine mpya zikimuonesha akiwa mtupu tena mtoni huko
Kijijini Mwanza.
Xdeejayz
kama kawaida yake imefanikiwa kunasa picha hizo toka kwenye accont ya
Facebook ya Jeska ambapo alikuwa ameziachia yeye mwenyewe na kuchukulia
kawaida sana.
Hata
hivyo kwa mujibu wa chanzo chetu picha hizo ambazo kama zinavyooneka
wamepiga kwa hiyari wao wenyewe wala si kulazimishwa au kupigwa bila
kujitambua la hasha na walidhamilia kufanya hivyo.
Jeska
ambae kwenye Account yake ya Facebook anatumia jina la King Kikii Dota
alizimwaga picha hizo ili zisambae makusudi" Hata hivyo hali halisi
wananchi wanaonekana kushangazwa na tukio hilo huku watoto wadogo nao
wakishuhudia video hiyo ya bure
Mtandao
huu ulifanya jitahada za kumtafuta msichana huyo kupitia simu yake ya
kiganjani lakini hakuweza kupatikana hadi habari hii inaruka hewani.
Xdeejayz
kushirikiana na watanzania wanaoitakia mema nchi tuna lani vikali
vitendo vya kuidhalilishaji vinavyofanywa na wasichana hao tena kwa
makusudi na tunasisitiza sisi kama chombo cha habari kuwa hali hiyo
haikubariki na inapaswa kupingwa kwa nguvu zote.
TAARIFA:
Blog hii haihusiki na kupiga picha za wahusika wote wanaoripotiwa humu
na mara nyingi picha hizi husambazwa na wahusika wenyewe hivyo tunaomba
jamii na wasomaji wetu watuelewe hivyo kuwa Xdeejayz haiko kwa ajili ya
kudhalilisha bindamu la hasha basi bali tunathubutu kutoa habari hizi na
picha za ushahidi ili kuonesha tunapinga vitendo hivyo na wanaoruhusiwa
kutizama blog hii ni wale walizidi miaka kumi na nane tu
BOFYA HAPO CHINI KUITAZAMA KWA MAAANA NI SHIDA NA M2 CHINI YA MIAKA KUMI NA TISA PLZ ASIANGALIE....
CREDIT:XDJAYZ