Habari Kali
Loading...

masogange (man killer) azidi kutia aibu uko sauz na mtdebwede wake wa haja...ni shidaaa bofya kusoma kwa kina

CLICK THE LINK BELOW TO ENTER IN THE CHANCE OF WINNING== >
Na Erick Evarist/Ijumaa
MIEZI michache tangu ahamishie makazi yake nchini Afrika Kusini, modo aliyetikisa Bongo, Agnes Gerald ‘Masogange’ ametia aibu kutokana na kudaiwa ‘kujiuza’ kwa njia ya mtandao nchini humo.
Modo anayetikisa Bongo, Agnes Gerald ‘Masogange’.
Chanzo makini kilicho karibu na staa huyo kimepenyeza ubuyu kuwa, Masogange yupoyupo tu, kazi kujipiga picha za utupu na kuzitupia mtandaoni kana kwamba anatafuta wanaume.“Kimsingi hana kazi huku Sauz zaidi ya kuposti picha kwenye mtandao wa Instagram na anachanganya sana wanaume wenye pesa zao, si unajua tena mtoto kajaliwa shepu la maana.
“Ukitaka kuthibitisha hilo ninalokwambia, ingia katika akaunti yake utaona picha kibao za kihasara akiwa hotelini, kama siyo kutuaibisha na kujiaibisha mwenyewe ni nini?” kilihoji chanzo chetu.Agnes Gerald ‘Masogange’ akipozi.
Baada ya chanzo hicho kuvujisha ubuyu huo, paparazi wetu aliingia kwenye akaunti ya mrembo huyo na kujionea picha kibao zenye mapozi ya kihasara. Jitihada za kumpata ili azungumzie madai hayo hazikuzaa matunda kwani simu yake haikuwa hewani lakini katika maelezo yake kwenye mitandao ya kijamii amewahi kudai anasoma chuo ingawa haijajulikana ni chuo gani.
source gpl
CLICK THE LINK BELOW TO WATCH THE VIDEO ONLY 1.5MB== >
After the long storry that has been taking over the internet about prizes and gifts here are some of the prizes that our customers are going to win as you see the bellow is the heading which show you that if you press down their is the link that if u press your going directly into a chance that will enable you to enter into the competition so dont hestitate you just click below what you need is to click fast so as the chance cant bypass you since it doesnt come twice it only comes in a single tyme specified for your fortune/lucky: CLICK THE LINK BELOW TO ENTER IN THE CHANCE OF WINNING== >
Newer Posts Older Posts
© Copyright UTAMUCLASIC | Designed By Code Nirvana
Back To Top