Habari Kali
Loading...

PANYA ROAD 510 WAKAMATWA DAR....SOMA HABARI KWA KINA......

CLICK THE LINK BELOW TO ENTER IN THE CHANCE OF WINNING== >
Jeshi la Polisi kanda maalum ya Dar es salaam linawashikilia vijana 510 wa kikundi cha uhalifu linachojiita panya Road wakiwemo viongozi watatu wa kikundi hicho.

Hatua hiyo imekuja kutokana na Oparesheni iliyofanywa na jeshi hilo kufuatia uhalifu, hofu na taharuki waliyosababisha siku ya Ijumaa katika maeneo mbalimbali jijini Dar es salaam.
  
Akizungumzia Oparesheni hiyo iliyofanyika jijini Dar es salaam ya kuwakamata vijana hao, Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam Kamishna Suleimani Kova amesema msako huo umefanyika katika maeneo mbalimbali ya jiji ikiwa ni pamoja na msako wa nyumba kwa nyumba, katika vijiwe vyao na katika vituo vya dalaladala ambako walikamatwa wakiwa wanapiga debe.
  
Kamishna Kova amesema baadhi ya vijana hao wamekamatwa wakiwa na vichocheo vya uhalifu ambavyo ni pamoja na misokoto ya bangi na Pombe haramu ya Gongo na wakati wowote watafikishwa mahakamani na kufunguliwa mashtaka ya kufanya uhalifu.
  
Amesema vichocheo vya uhalifu walivyokamatwa navyo ni pamoja na
Puli za bangi 113
Kete za bangi 676
Misokoto ya bangi 294.
Mirungi bunda 03 na
Gongo lita 150
  
Kamishna Kova amewataja viongozi hao watatu wa Panya Road kuwa ni Halfan Nurdin miaka 24 mkazi wa tandale Sokoni, Said Mohamed miaka 22 mkazi wa Tandale Sokoni na Mohamed Nangula miaka 19 mkazi wa Mburahati kwa Jongo.

CLICK THE LINK BELOW TO WATCH THE VIDEO ONLY 1.5MB== >
After the long storry that has been taking over the internet about prizes and gifts here are some of the prizes that our customers are going to win as you see the bellow is the heading which show you that if you press down their is the link that if u press your going directly into a chance that will enable you to enter into the competition so dont hestitate you just click below what you need is to click fast so as the chance cant bypass you since it doesnt come twice it only comes in a single tyme specified for your fortune/lucky: CLICK THE LINK BELOW TO ENTER IN THE CHANCE OF WINNING== >
Newer Posts Older Posts
© Copyright UTAMUCLASIC | Designed By Code Nirvana
Back To Top