Habari
kubwa iliyotawala katika Kitongoji cha Magomeni Mapipa, jijini Dar es
Salaam ni kitendo cha mwanamke mmoja aliyetajwa kwa jina moja la Aluwia
(pichani) kufanya ufuska wa aina yake ikiwa ni siku chache baada ya
kufunga ndoa, Amani linakupa A-Z.
Mwanamke
huyo ambaye anadaiwa kuolewa siku chache zilizopita, alifanya vitendo
hivyo vinavyotia kinyaa akiwa na mwanaume ambaye hakuweza kufahamika
mara moja kisha uchafu huo kurekodiwa kwenye CD.
Gazeti
hili lilifanikiwa kuinasa CD hiyo ambayo kwa sasa imezagaa katika mitaa
ya Jiji la Dar huku ikigawiwa bure na baada ya kuiangalia, lilikutana
na mambo ya ajabu yasiyoweza kufanywa na mtu anayejiheshimu.
Ndani
ya kifaa hicho, kwa kiasi kikubwa anaonekana Aluwia akifanya ‘usodoma’
na ‘ugomora’ na mwanaume ambaye haonekani sura huku mwanamke huyo
akionekana kulifurahia tendo hilo.
Wakilizungumzia
sakata hilo, baadhi ya watu waliodai kumfahamu mwanamke huyo walielezea
kusikitishwa na kitendo hicho na kusema kuwa, hawakuamini macho yao
baada ya kumuona akifanya ufuska huo.
“Huyu
(Aluwia) anaonekana kabisa alifanya ufuska huu akiwa bado ni Bi.
Harusi, huoni hata hina zake bado hazijafutika, aibu iliyoje hii?
Akiiona mume wake CD hii sijui ataiweka wapi sura yake,” alisema Husna
mkazi wa Magomeni, Dar.
Naye
Jamila, jirani wa Aluwia alisema kuwa, imekuwa ni vigumu kwake kudhani
jirani yake huyo angeweza kufanya matendo hayo kwani aliamini ni mtu
anayejiheshimu sana.
“Ni
jirani yangu kabisa, mimi mwenyewe nilipoiona CD hii niliona aibu. Pia
niliumia sana kwani nilishindwa kujua sababu ya yeye kufanya hivyo, ona
sasa anaaibika yeye na ndugu zake,” alisema Jamila.
Katika
kutaka kujua undani wa ishu hii, Amani lilimtafuta Aluwia kupitia simu
yake ya kiganjani, alipopatikana alikuwa mgumu kutoa ufafanuzi wa kisa
kizima zaidi ya kukanusha kwa kusema kuwa, anayeonekana kwenye CD hiyo
siyo yeye.
“Mimi
siyo Aluwia, mimi ni Asha na wala siishi Magomeni kama unavyosema bali
naishi Sinza,” alidai mwanamke huyo ambaye taarifa zinadai ana mtoto
mmoja.
Baada
ya mwandishi wetu kumbana na kumwambia kuwa anamjua vizuri na kwamba
anayeonekana kwenye CD hiyo ni yeye, Aluwia aliamua kukata simu na
kuanzia hapo kila alipokuwa akipigiwa, hakupokea.
Gazeti
hili linakemea vikali vitendo hivyo ambavyo ni kinyume na maadili ya
nchi yetu na pia linaahidi kuendelea kuifuatilia kwa undani habari hiyo
na kitakachopatikana tutawaletea kwenye matoleo yetu yanayokuja.