kupitia Gazeti la Makorokocho leo mezani tumepata story ya muda mrefu ya Penzi la siri kati ya Ommy Dimpoz na Jokate aka Kidoti.
stori hii ilivuja baada ya beef la chini kwa chini kati ya Jokate na mwimbaji mmoja wa kike ambae hawana maelewano mazuri na chanzo kikidaiwa kuwa ni mwanamuziki huyu wa kike (jina lake linaanzia na herufi V)
kukuta meseji za Mapenzi kati ya Mpenzi wake huyo na dada yetu kidoti.
Chanzo kinasema kidoti na Ommy Dimpoz walianza mapenzi ya siri kwa siri baada ya dada huyo kuachana na diamond.
Mapenzi hayo yalianzia huko mikocheni A ambapo Ommy Dimpoz alikwa akiishi nyumba ya kushare na kila bibie kidoti alipokuwa akienda hapo watu walimuona na kuna kipindi dada yetu kidoti alikuwa akiminya ndani ya gari bila kushuka mahaba yakiwa tele kwenye gari hilo.
sasa wataalamu wa mambo wanasema dada yetu huyu anaonekana sana maeneo
ya kinondoni katika mjengo wa kupanga wa star huyu wa ndagushima chande
na mapenzi yao bado inasemekana yanaendelea chini kwa chini lakini nje
nje.
ommy dimpoz ameingizwa kwenye list ya wanaume walio na mapenzi ya siri na dada yetu kidoti.
patamu hapoooo.
patamu hapoooo.
kama namiona vile
CREDIT : SOUDY BROWN