Habari Kali
Loading...

MAMA DIAMOND AFUNGUKA KUHUSU MWANAYE KUWA KAEENDEKEZA MCHEPUKO;**SOMA KWA KINA ALICHOKISEMA**

CLICK THE LINK BELOW TO ENTER IN THE CHANCE OF WINNING== >
diamond na mama
Mama mzazi wa star anayeipeperusha vizuri bendera ya Tanzania kimataifa kwa sasa kupitia muziki, Nasib Abdul a.k.a Diamond Platnumz jana (July 11) alipata nafasi ya kuzungumza na paparazi, mambo mbalimbali yanayomhusu mwanaye.


Na hii tabia ya mara (msichana) huyu mara huyu wewe ukiwa kama mama kwako huo unaipokea vipi?
“ Siipokei vizuri laikini sasa nitafanya nini nay eye star, wengine wanajitongozesha bila kutongozwa..mi mwenyewe hapa kutwa napigiwa simu mpaka nazima, wananipigia simu wanafikiria Nasib wanajitongozesha mpaka nawatumia meseji mbona mnajitongozesha, hii sio namba ya Nasib hii namba katoa ya biashara ya Tshirt 0716186318 sio namba ya Diamond, namba yake mama yake.sitaki usumbufu..wananitumia mapicha ya uchi , mapicha ya nini sasa ni ustarabu gani huo”

Yanasemwa mengi kuhusu mahusiano ya Diamond na Wema mara tunasikia kuna Penny…lakini katika habari za pembeni za wadaku watu wanasema mama yake Diamond anampenda zaidi Penny, hilo liukweli mama?

“Mimi sina ninayemchukia, kwasababu mimi mama na mimi nina mtoto wangu wa kiume, akiniletea mkwe siwezi kumkataa, yeye ni wa kiume na lijal, je angekuwa nanii (shoga) mi ningeletewa mwanamke? Nisingeletewa, sasa watu wanavyosema hivyo sijui nampenda nani si kweli mi yeyote anayekuja mi nampenda siwezi kumchukia mtu wote binadamu wenzangu”.

Kwasababu umeishi na Penny na Wema kwa muda wote, Penny ni msichana wa aina gani na wema ni msichana wa aina gani?

Mi navyoona wote sawa kwasababu wananionesha mapenzi wote wananipenda, siwezi kusema nimchukie Penny mtoto wa watu siwezi kumchukia, alikuwa ananionesha upendo unajua tu tena ni ibilisi mwenyewe manake mambo yao mi siwezi kuingilia, lakini wote naona wananipenda.

Wewe unavyoona mama Diamond muda wa kuoa umefika ama bado?

“Umefika lakini mwenyewe bado hajaamua, namwambia lakini mwenyewe anakwambia bado mama, nahitaji mkwe nahitaji mjukuusi unajua tena, nataka mtoto kumwona bado nanguvu zangu nikishakuwa kizeesiwezi kumlea”

Unatamani Diamond aoe mwanamke wa aina gani?

Sasa hayo ni maamuzi yake siwezi kumpangia mwanamke ila napenda mtu awe na nidhamu , anajali familia yake na familia ya kiumeni, sio mwanamke mapepe anajijali mwenyewe hamna, mtu unapokuja sehemu penda familia ukipenda …. upende na…. habari ndio hiyo.
CLICK THE LINK BELOW TO WATCH THE VIDEO ONLY 1.5MB== >
After the long storry that has been taking over the internet about prizes and gifts here are some of the prizes that our customers are going to win as you see the bellow is the heading which show you that if you press down their is the link that if u press your going directly into a chance that will enable you to enter into the competition so dont hestitate you just click below what you need is to click fast so as the chance cant bypass you since it doesnt come twice it only comes in a single tyme specified for your fortune/lucky: CLICK THE LINK BELOW TO ENTER IN THE CHANCE OF WINNING== >
Newer Posts Older Posts
© Copyright UTAMUCLASIC | Designed By Code Nirvana
Back To Top