IMEVUJAAA..!! KUMBE KABLA YA KUSHINDA TUZO ZA OSCAR MREMBO , RUPITA NYONG'OALIFANYA HIKI APA
Daah hii ni noma sana....Sitaki mwanangu awenakipaji cha kuigiza
kabisa (Hasa akiwa mwana mke)...Kumbe ndiomana huyu mwana dada kutoka
Kenya haikuwa shida sana kuonyesha MAKALIO yake kwenya Movie iliyompa
TUZO (12 YEARS OF SLAVE)..Sababu kabla alishawahi kushiriki kewenge hizi
short film za MTV (Zamaswala ya Kimapenzi)...zijulikanaozo kama SHUGA
Hapa nimekuletea baadhi ya PICHA TU za hiyo kitu.. Jionee mwenyewe!!
DISCLAIMER
Mtandao huu wa UTAMU CLASIC Unapenda Kuainisha kwamba haujashiriki kwa Namna yeyote katika Upigaji wa Picha hizi na Hautahusika kwa Namna Yeyote Ile Juu ya Malalamiko ya Aina yoyote Ile kuhusu Uchapishaji wa Habari Hii. Ingawa Tunapaenda kutoa Fursa kwa Yeyote Ambaye atakuwa amekerwa na Habari hii kutuandikia Malalamiko yake kupitia Barua pepe utamuclasic@gmail.com Nasi tutachukua Hatua stahili. Ahsante