1. “Itakuwaje kama ntakuwa na mimba?”
Mara nyingi unapoanza kuingia kwenye purukushani zilee, akili huwa inahusishwa kwa asilimia chache sana, ila kinachokuwa nafasi ni hisia za mwili, ila shere linaanza pale kila mmoja anapomaliza, mara wapenzi wengi hujisahau kutumia hata kinga na mwisho wa siku kuanza kuwa na mawazo mengi na kuhofia, labda wanaweza kuwa wameshika mimba teyari bila hata kupanga.
2. “Oh my goodness ulikuwa vizur!”
Sentensi hii hutamkwa hasa mnapomaliza zile shughuli, wapenzi wengi waliozoeana huwa wanakuwa wazi kuambiana na kusifiana kihivi, ila mara chache utakuta mwanamke huwaza tu na kumkuta akicheka kila mara.
3. “najichukia sana”
Kwa mwanamke asilimia kubwa, kama ulimlazimisha kufanya mapenzi, kwa kumrubuni au ilimbidi tu kufanya hivyo kwa sababu ya shida, wanaume wengi hutumia mwanya huo kama njia za kulipia mema wanayowafanyia wanawake, hapa unakuta mwanamke hakuridhia ila inambidi tu, na mwisho wa siku utakuta anafikia mahali, anajichukia mwenyewe kwa vitendo alivyofanya, tena pale tu amalizapo.
4. “nahisi ntapata mimba”
Asilimia kubwa hutokea kwa wanawake ambao wanajaribu kupata mtoto mara kwa mara, inafikia kipindi ambacho wanakata tamaa kabisa, hadi kufikia kudhani kuwa hawawezi kupata mtoto, wengi wao huangaika hadi kwa waganga kufikiria jinsi ya kupata watoto.
5. je unaeendelea tena?
Wanasayansi wanadai kuwa, kila mwanamke ana muda wake anaochukua kuweza kumfikisha kileleni, hapo utakuta, kama umezoea wale wa nunu saa na unadhani umeshamaliza kazi, kumbe mwenzako ndio kwanza anaanza, hapa asilimia kubwa ya wanawake huanza kuuliza mapema, kama upo fiti kwa raundi nyingine , ili kuweza kufika pale anapotaka.Kuna aina nyingine ya wanawake huona aibu kuulizia, kwa hiyo hujikuta wanatamani sana kuendeleza game, hivyo ni bora kumsoma vizuri mpenzi wako.
6. “nahisi nlikuwa vizur kwako”
Asilimia kubwa ya wanawake hutokea kutojiamini, na hivyo kujikuta kufanya kila kitu wakati wa ku-doo, bila hata ya kuuliza na kumsoma vizuri mpenzi wake, hivyo anakuwa anajawa na mawazo na kujiuliza kama amemridhisha au la. Na wengi wao huogopa kutamka na kumwuliza mpenzi wake, hii yote husababishwa na kutokujiamini tu.
7. “nafikiria kama unaukimwi au laa”
Hasa kwa wale wanaopenda kuchepuka, mara nyingi mchepuo hutokea kama zali vile, na mfukoni unakuta hamna kinga na mmeshakubaliana,mpo ndani teyari, hivyo mara nyingi watu hutokea kwa mtu ambaye hujamjua kivile na mmekutana tu kuchora 69 kwenye kitanda, hapo utata ni baadae, mawazo kila ukigeuka, kuanza kuwaza kama ntakuwa nimeukanyaka au.