Ikiwa
wewe umechelewa(ulikuwa hujui hili wakati matiti yako yanaota) basi
msaidie mdogo wako au binti yako anaekuwa hivi sasa, ili asije kujisikia
vibaya pale wanaume watakapokuwa wakiponda matiti kwa kuyaita
"malapa"....Kwanza kabisa hakikisha mtindo wa kulala ni kifudifudi
(kulalia tumbo), kwa kufanya hivyo kunasaidia kwa kiasi kikuwa kufanya
matiti yako pumzike, kwamba hakutakuwa na kuning'inia kama utakuwa
umelala chali(lalia mgongo) au kiubavu.
Zoezi...1
Asimame wima dhidi ya mlango au ukuta kisha aegeshe matiti yake mahali hapo kwa nguvu kisha aachie (ajitoe ukutani), zoezi hili hufanya matiti yaume sana lakini wewe kama dada mpe moyo kuwa avumilie. Afanye hivyo mara 20 kila asubuhi.
Zoezi....2
Simama wima huku mikono yako ikiwa imenyooshwa huku na kule kisha ipeleke mbele nakukutanisha viganja vyako alafu irudishe nyumba kadiri uwezavyo (sio lazima ikutane) ila utahisi maumivu fulani sehemu ya matiti (misuli yafanya kazi hapo)....fanya hivyo mara 10 na ongeza hesabu njinsi unavyokua.
Zoezi...3
Ukiwa umesimama wima na mikono yako imenyooshwa huku na hule inanyue taratibu kuelekea juu na kutanisha vidole vyako huko juu kisha rudisha mikono ilipokuwa (imenyooka huku na kule)