![]() |
| Huu ndiyo usingizi wake full kipupwe |
![]() |
| naweza kuona na kutambua kuwa kizuri kula na ndugu zako |
![]() |
| Usafiri wa kwendea sokoni ni habari ya mjini |
![]() |
| Usafiri wa kwendae duka |
![]() |
| Huu ni usafiri wa kwendea kwenye shughuri za kioffice |
![]() |
| ari akiwa ndani ya duka lake la vito vya thamani |
![]() |
| Habari ndiyo hii najua ungetamani kuweka kioo chuni kwa wale wa tuliosoma shule zetu za uswahili kama mimi jibu mnalo..tee tee tee tee...!! |
![]() |
| Usafiri huu ni mambo ya mitoko ya usiku kwenye viota vya maraha ndani ya jiji la Kampala |
![]() |
| Uwani kwake magari ya wageni wakitaka kuzunguka mjini |
![]() |
| Usafiri wa kumpeleka mtoto shule na kumrudisha |
![]() |
| Zari akiwa kajipumzisha nyumbani kwake |













