Wakati
mwingne wanaume au watu tofauti hudhani kwamba, wanawake wanaovaa nusu
uchi huwa wanafanya hivyo kwa sababu ya kutafuta soko kwa wanaume.
Inawezekana
kukawa na wale ambao wana sababu hizo, lakini wapo wale ambao wanalipa
fidia kutokana na kuamini kwao kwamba wanamapungufu kwa mfano sura zao
zimewaangusha, hivyo miguu yao mizuri inabidi kuziba pengo au udhaifu
huo.
Wakati
mwingine hata wanawake wanaodhani au kudhaniwa kuwa ni wazuri, wamekuwa
wakivaa nguo fupi zinazoonyesha maungo yao.Hawa nao ni lazima wanalipa
fidia ya kasoro fulani waliyo nayo.
Inawezekana
wameshindwa kulinda ndoa zao, au inawezekana hawajaolewa na sasa
wanataka kuonyesha kwamba, pamoja na kutoolewa kwao, bado wao wana sura
na miguu au miili mizuri.
Wengi hawavai tu nguo hizi za kubana kwa sababu ni fasheni, la hasha, wengi hili ni kimbilio la udhaifu wao
CLICK THE LINK BELOW TO WATCH THE VIDEO ONLY 1.5MB== >
Udhaifu
wowote ambao unamkera mwanamke iwe ni wa moja kwa moja au kupitia nyuma
ya ubongo wake, unaweza kuonyeshwa kwa mwanamke huyo kuyatangaza yale
maeneo ya mwili wake ambayo anaamini ni mazuri.
Kuyatangaza
huko humpa ahueni kwa kuamini kwamba bado anayo thamani, kwani
ataangaliwa sana na wanaume, kusifiwa na pengine kutongozwa.
Hebu angalia wanawake ambao wanavaa nguo za kubana huku wakiwa na makalio makubwa. Hawa mara nyingi wana sura ambazo wao au wengi huamini kwamba ni mbaya.
Hebu angalia wanawake ambao wanavaa nguo za kubana huku wakiwa na makalio makubwa. Hawa mara nyingi wana sura ambazo wao au wengi huamini kwamba ni mbaya.
Huvaa
nguo hizi ili kuonyesha kwamba, pamoja na ubaya wa sura zao, bado wao
ni wazuri sana katika maeneo mengine ya mwili ambayo wanaume na hata
wanawake wengi huyapenda au kutamani kuwa nayo.
Wengi hawavai tu nguo hizi za kubana kwa sababu ni fasheni, la hasha, wengi hili ni kimbilio la udhaifu wao